Monday, February 6, 2017

Gigy Money Ampiga Chini Mo J.......Ahamishia Penzi Lake kwa Joti

U heard ya CloudsFM Leo, chini ya mtangazaji Soudy Brown imeleta hii  habari inayowahusu Watangazaji wa ChoiceFM, Gigy Money na Mo J ambapo inadaiwa wameachana baada ya Mo J kushtukia.

Inasemekana Mo J ameshtukia mawasiliano ambayo mwenzake alikuwa akiyafanya na mtu mwingine ambayo ikapelekea ugomvi hata mmoja kubeba nguo zake, sasa leo Soudy Brown ameongea na wote wawili.

"Mbali na mimi kuwa naye kwenye mahusiano yeye ana mambo yake anayafanya na alikuwa anayafanya labda amejisikia kumpost Joti au ni mshikaji wake" Amesema Mo J

"Nimeamua tu kumpunguza instagram……..kwani Joti hafai kupendwa na Gigy Money na ninakuambia pale sichomoki na nimefika dada yako, Mo J tushamwagana kipindi kitaenda tu" Amesema Gigy Money

==> Sikiliza habari kamili hapo chini
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )