Monday, May 22, 2017

Kauli ya Gigy Money Baada ya Video yake Chafu Akiwa na Albert Msando Kusambaa

Baada ya Mwanasheria Albert Msando kuomba msamaha kufuatia video yake na mwanadada Gigy Money iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii, mwanadada huyo ameibuka na kusema kwamba hakuwa akimfahamu Msando na pia ndiye aliyesambaza video ile.

Gigy Money amesema kwamba yeye alirekodiwa video ile akiwa amelewa na alipoamka jana asubuhi ndio alikuta video zimesambazwa kwenye mitandao ya kijamii.

Video hiyo ilikuwa ikimuonyesha Albert Msando na Gigy Money wakiwa kwenye gari huku Msando akipapasa mwili wa mwanadada huyo, na yeye akicheza mziki.


Advertisement
==

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Mpekuzi Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )