Monday, July 10, 2017

Halima Mdee apelekwa Mahakama ya Kisutu

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee amefikishwa katika ukumbi wa wazi wa Mahakama ya Kisutu leo asubuhi  akisubiri kesi yake.

Mdee, alikamatwa na Polisi siku sita zilizopita kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Hapi kwa madai ya kumkashifu Rais John Magufuli.

Hapi aliagiza Mdee akamatwe na kuwekwa ndani kwa saa 48 kwa makosa hayo pamoja na ya uchochezi.


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )