Friday, August 25, 2017

Alikiba Aachia Video Yake Mpya ya ‘Seduce Me’...... itazame hapa

Baada ya kusubiriwa kwa hamu na mashabiki wengi, hatimaye mkali wa Bongo Fleva, Alikiba ameiachia video mpya ya ngoma yake mpya ya “Seduce Me”.
 
Alikiba ambaye ni mkurugenzi na sehemu ya wamiliki wa kampuni ya Rockstar4000 Music Entertainment and Rockstar Television inayojishughulisha na utengenezaji wa vipindi vya mastar tofauti kutoka nchi mbalimbali ameachia Video yake leo Agosti 25, 2017. 

==>Itazame hapa

Advertisement
==

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Mpekuzi Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )