Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Sunday, April 8, 2018

Live : Fuatilia Hapa Tukio la Kusimikwa Kwa Askofu Mkuu Jimbo Katoliki Arusha....Rais Magufuli Keshawasili

Misa na sherehe ya kumsimika aliyekuwa Askofu wa Jimbo la moshi Askofu Mkuu Mteule, Isaac Amani inaendelea katika Parokia ya Mt Mt. Theresia Arusha.

Mhe. Rais Magufuli amewasili katika viwanja vya Kanisa la Mtakatifu Teresia wa Mtoto Yesu, Jimbo Kuu Katoliki la Arusha ambapo anashiriki Ibada ya kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Hilo
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )