Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Monday, April 9, 2018

Ndugai Rasmi Bungeni Leo

Spika wa bunge Job Ndugai leo ameingia bungeni kuongoza kikao cha tano katika mkutano wa 11. Ndugai hakuwepo bungeni kwa muda mrefu baada ya kuelezwa kuwa alikuwa nje ya nchi kwa matibabu.

Wabunge wamemshangilia kwa kumpigia  makofi kutoka pande zote wakiongozwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

Katika mkutano wa 10 uliofanyika kwa wiki mbili kiongozi huyo hakuonekana bungeni wakati wote.
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )