Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Saturday, May 26, 2018

Mhadhiri UDOM Auawa Kwa Kuchomwa Kisu na Mumewe

Mhadhiri wa Chuo cha Biashara katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Rose Mdenye ameuawa kwa  kuchomwa kisu na mumewe usiku wa kuamkia leo Mei 26 kwa wivu wa mapenzi.

Ofisa Uhusiano wa Chuo hicho, Beatriece Mtenga amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba taarifa zaidi zitatolewa baadaye. Mtenga amesema msiba upo Kisasa Sheli.
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )