Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Tuesday, May 29, 2018

Nuh Mziwanda Azungumzia Picha Zake Tata na Amber Lulu

adv1
Msanii wa muziki wa bongo fleva Nuh Mziwanda amaefunguka na kuzungumzia video tata iliyokuwa ikiwaonyesha yeye na msanii mwenzake wa kike Amber  lulu wakiwa sehemu faragha  wakiwa katika mapozi ya kimahaba.

Wawili hao wanasadikika kuwa wapenzi hasa baada ya kuonekana kwa vido hiyo ambayo ilisambaa kupitia snap chat ya Amber Lulu.

Kwa mujibu wa Nuh anasema kuwa hakuna chochote kinachoendelaa kimapenzi kati yao bali kuna project wameeianda kati yao na ile iliyovuja walikuwa location kwa ajili ya ku-shoot.

"Mimi na Amber tuna project na hakuna kitu chochote, ila mimi niko snap chat kwaio wakati tunashoot video kulikuwa na zile vibes za snapchat  za kucheka, ku-enjoy na kufanya mambo mengine mengi , yeye alikuwa akichukua kwenye sanap na mimi nilikuwa nachukua katika snap lakini haikuwa kwa ubaya, na wala sikumwambia aitoe maana pale ile ni snapchat yake."
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )