Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Tuesday, July 24, 2018

Lulu Diva Azungumzia Wimbo wake Mpya wa ONA Ulivyobadili Maisha Yake

Mwanadada Lulu Diva amefunguka na kuelezea mafanikio yake ya muziki tangu alipoanza mpaka alipofikia sasa na kusema kuwa kwa sasa na yeye amekuwa akijiona kuwa ni msanii mkubwa sana kutokana na wimbo wake huu mpya wa sasa hivi.

Lulu diva anasema kuwa wimbo wa ona ambao amemshirikisha Rich Mavoko ambao kwa sasa umekuwa ukifanya vizuri katika vituo mbalimbali vya radio na tv umekuwa moja ya mafanikio yake makubwa na anaona kabisa kuwa kwa sasa amepiga hatua kubwa kutokana na hilo.
 
"Wimbo wa ona umenipeleka kwenye levo nyingine kabisa, kwa sasa mimi ni miongoni mwa wasanii wakubwa ambao kila siku shoo zinazidi kuongezeka tu  na hata hadhi yangu pia."- Anasema Lulu Diva
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )