Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Tuesday, July 3, 2018

Mwigulu Nchemba Amlilia Profesa Majimarefu

 Mwigulu Nchemba, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ametuma rambirambi kwa msiba wa mbunge wa Korogwe Vijijini, Stephen Ngonyani maarufu Profesa Majimarefu.

Kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter, Dk Nchemba ambaye ni mbunge wa Iramba Magharibi (CCM), amesema:

“Maandiko matakatifu yanasema, mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi. Tumempoteza kaka, ndugu na rafiki Comrade Stephen Hilary Ngonyani (Prof. Majimarefu), tumempoteza kiongozi na kada kwelikweli wa Chama cha Mapinduzi. Mungu akupumzishe kwa amani.

Dk Nchemba ametuma rambirambi leo Julai 3, 2018 ikiwa ni twiti yake ya kwanza tangu alipoondolewa kwenye baraza la mawaziri Julai Mosi, 2018.

Advertisement
Loading...
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
==

taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

Loading...