Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Monday, August 20, 2018

CCM Yatuma Salamu Za Rambirambi Kifo Cha Dada Wa Rais John Magufuli

CHAMA cha CCM kimetuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha dada wa Rais John Magufuli,  Monica Joseph Magufuli, aliyefariki dunia jana asubuhi tarehe 19 Agosti, 2018 katika Hospitali ya Bugando jijini Mwanza alikokuwa anapatiwa matibabu.
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

taboola apo chini
....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )