Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Tuesday, August 14, 2018

Muuza mitumba akabidhiwa gari na Diamond Platnumz kupitia shindano la nogewa ushinde la Diamond Karanga

adv1
Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ambaye pia ndiye mkurugenzi wa WCB amemkabidhi gari mshindi wa shindano la Nogewa Ushinde lililokuwa likifanyika kwa mwezi mmoja sasa kupitia bidhaa za Diamond Karanga.

Mshindi huyo aliyejitambulisha kwa majina ya Bakari Saidi akisimulia kwa furaha amesema kuwa yeye ni muuza mitumba Ubungo jijini Dar es salaam na ameahidi kuendelea kutumia bidhaa hizo huku akidai kwamba gari hilo limemkomboa kiuchumi.
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )