Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Wednesday, August 22, 2018

PICHA: Waziri Mkuu Atumia Usafiri Wa Boeng 787-8 Dream Liner Ya. ATCL Kutoka Mwanza Hadi Dar

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakisafiri kwa Ndege ya Boeing 787-8 Dreamliner wakitoka Mwanza kwenda Dar es salaam kupitia KIA, Agosti 22, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiwa katika picha ya pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Phillip Mangula (watatu kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella (kulia) kwenye uwanja wa  Ndege wa Mwanza kabla kuondoka kuelekea Dar es salaam kwa ndege ya Boeing 787-8 Dreamliner Agosti 22, 2018.
Ndege Boeing 787-8 Dream Liner ya shirika la ndege la Tanzania (ATCL) ikiwa Juu Ziwa Viktoria Mwanza ikijiandaa kutua katika uwanja wa Mwanza leo 22/Agosti /2018
 
Picha na Chriss Mfinanga  wa Ofisi ya Waziri Mkuu
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )