Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Tuesday, September 4, 2018

BREAKING : Msafara wa Rais Magufuli wapata ajali

Msafara wa Rais John Magufuli umepata ajali katika kijiji cha Kasuguti Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara ikihusisha magari manne kugongana na kusababisha gari lililokuwa limebeba waandishi wa habari kupinduka na kupelekea baadhi ya waandishi kuumia sehemu mbalimbali za miili yao.

Wakati ajali hiyo ikitokea, gari za Rais Magufuli zilikuwa zimepita umbali mrefu kutoka eneo ilipotokea ajali hiyo.

Taarifa za awali zinadai kwamba hali za majeruhi zinaendelea vizuri.
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )