Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Friday, September 7, 2018

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Amtembelea Kigwangalla kwa Mara nyingine Tena

Rais Mstaafu wa awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  jioni ya Septemba 6,2018 akisindikizwa  na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla ambaye anapatiwa matibabu ya mkono wake wa kushoto katika wodi maalum ya Taasisi ya Mifupa MOI jijini Dar es Salaam, alipoenda kumjulia hali kufuatia ajali ya gari aliyoipata Agosti 4, mwaka huu Mkoani Manyara.
Rais Mstaafu wa awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete jioni ya Septemba 6,2018 akiagana na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla ambaye anapatiwa matibabu ya mkono wake wa kushoto katika wodi maalum ya Taasisi ya Mifupa MOI jijini Dar es Salaam, alipomtembelea kwa mara nyingine  kufuatia ajali ya gari aliyoipata Agosti 4, mwaka huu Mkoani Manyara.
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

taboola apo chini
Loading...
....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )