Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Sunday, September 30, 2018

Sakala la TZ Sweetheart Lamuibua Diva.....Amkubali Hamisa Mobetto kuliko Wema Sepetu

Mambo yanazidi kuwa moto kwenye vita ya jina la Tanzania Sweetheart ambalo Wema Sepetu amekuwa akilitumia kwa muda mrefu na kinachoelezwa sasa jina hilo kakabidhiwa Hamisa Mobetto.

Sasa Mtangazaji wa Clouds FM, Diva ametoa ya moyoni kuhusu ishu hiyo ya Tanzania Sweetheart na kueleza kuwa jina hilo kwa sasa ni la Hamisa Mobetto. 

==>>Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika;

Tanzania Sweetheart, Africa sweetheart, world sweetheart ... asietaka anywe Panado extra, 💩 ndio nshasema Point Blank Period ... mi sipendi kabisa tabia ya kupindisha maneno meyaweka wazi kabisa ..

My baby For life @hamisamobetto 😍😍😍 came thru dripping, we wanyooshe tu baby.... hamna jinsi ... 😋 Damshi ka lote ❤️ edit ka zote, urembo ka wote, so Proud Of you My Love, work harddddd mama- Jaman y'all know me sina tatizo na mtu yoyote Maana naona mapovu ka yote, sina beef sina slice za mkate, ni kwamba tu mi ni muwazi na mkweli na nasema ninachojisikia as long as makes me happy sababu pia hii ni page yangu, mi na @hamisamobetto kitambo sana ni vile tu ushoga wetu uko very private.

But she is my baby for life na narudia tena kusema huyu hapa @hamisamobetto ndio Tanzania Sweetheart, Africa sweetheart and world sweetheart na nampenda sana and not gon change a shit or delete a shit  kila mtu na sweetheart wake jaman ... and yes ma keep on working sooo hard, keep shining mi amore , soo proud of you my darling.

So ka hutaki unakuja comment maneno mengi sana mi huwa sijali ... na sipendi unafiki ndio maana meweka wazi hapa katika page yangu , kiukweli , zero fcks given 💩 memaliza , Jumamosi Njema muende movie afu 🤣🤣 mkapunguze stress za maisha , why so serious jaman maisha yenyewe mafupi sana have fun be happy n smileee 👋🏼. life is too short oh.
Advertisement
Loading...
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
==

taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

Loading...