Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Saturday, September 15, 2018

VIDEO: Kitu anachotamani Kukifanya Jackline Wolper kwa Rihanna na Nick Minaj

Msanii wa Filamu Bongo, Jackline Wolper amesema ndoto yake kubwa ni kumvisha msanii wa Marekani, Rihanna.

Wolper ambaye ni Mbunifu wa Mavazi pia ametaja wasanii wengine kuwa ni Cardi B na Nicki Minaj.

"Mimi hapa Jackline Wolper siku isiyo na jina nitawavalisha Rihanna, Cardi B au Nicki Minaj maana wale ndio wana swag zangu.

"Nitaanza na Rihanna kwa sababu ndio mchizi wangu, mambo yake ndio yangu, yaani mimi ndio Rihanna wa Bongo. She don't care anafanya maisha yake, anavaa kile anachojisikia akiona yeye amependeza basi amependeza, ndio mimi," Wolper ameiambia Wasafi TV.

Jackiline Wolper ni Mbunifu wa Mavazi kupitia duka lake linalokwenda kwa jina la House of Stylish

==>>Msikilize hapo chini akifunguka
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

taboola apo chini
Loading...
....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )