Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Sunday, October 7, 2018

Alichojibu Nyandu Tozzy kuhusu kolabo na Harmonize

Msanii wa muziki Bongo, Nyandu Tozzy amefunguka kuhusu mipango ya kufanya kolabo na Harmonize.

Nyandu Tozzy ambaye anafanya vizuri na wimbo mpya 'I don't care' amesema kuwa kutokana na ukaribu wao lolote linaweza kutokea lakini bado hawajakaa na kuzungumzia hilo.

"Unajua kwanza naweze kusema mimi na Harmonize ni wana ambao hatuwezi kukaa wiki mbili hatujawasiliana, so naweza kusema ni mdogo wangu kwenye huu muziki. Hivyo usishangae chochote kikatoka baina yangu mimi na yeye," Nyandu ameiambia The Playlist ya Times FM.

Nyandu Tozzy amekuwa akitumbuiza kwenye show kadhaa ambazo Harmonize amekuwa akiziandaa ikiwemo ile aliyofanya Dar Live mwaka huu.
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )