Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Saturday, October 27, 2018

Kigwangala aandika historia nyingine, atoa sadaka baada ya ajali

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangala ameahidi kuwalipia ada ya masomo wanafunzi watano kila mwaka katika Chuo Cha Utabibu Tabora Institute, ikiwa ni sehemu ya kumshukuru Mungu kufuatia kunusurika kifo katika ajali ya gari aliyoipata August 4 mwaka huu huko mkoani Manyara ambapo mtu mmoja alifariki dunia na wengine kujeruhiwa.

==>>Msikilize hapo chini
tangazo
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )