Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Monday, October 1, 2018

Mbosso afunguka ukaribu wake na Esma Platnumz

adv1
Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliyeko chini ya lebo ya WCB Wasafi Mbosso Khan amefunguka juu ya ukaribu wake na dada yake  Diamond Platnumz ambaye ni Esma. 

Mbosso amesema Esma ni mshikaji wake sana na huwa wanaimba wote baadhi ya nyimbo na mara nyingi humfundisha kuimba pia hufikia kipindi hadi anamshawishi na yeye aweze kuimba yaani ajiingize kwenye mambo ya muziki.

Mbali na kuongelea ukaribu wake na Esma lakini pia amekanusha vikali taarifa zilizokuwa zinasema kuwa yeye ana mahusiano na dada mwingine wa Diamond ambaye pia ni msanii Queen darlin,na kusema hana mahusiano nae kabisa.
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )