Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Friday, October 5, 2018

Tandale Yote Leo Imesimama: Meneja wa Diamond Kapangua Tuhuma za Kugawa Bima kwa Upendeleo

Meneja wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Babu Tale amekanusha madai kuwa msaada wa bima ya afya unaotolewa na msanii wake ni kwa ajili ya watu maalum.
 
Tale amelazimika kusema hayo baada ya kuwepo malalamiko ya watu  wakiamini kuwa wanaopata waliandaliwa.
 
Meneja huyo yupo katika uwanja wa Magunia kutoa  bima hizo kwa niaba ya Diamond ambaye bado hajawasili amesema wanatoa bila kuchagua.
 
"Jamani kutoa riziki ni kazi ngumu ndio maana Mungu amejificha kwahiyo hayo malalamiko yenu nayaelewa hakuna aliyechaguliwa kabla kila kitu kinafanyika hapa hapa, msije mkaniroga bure mie nimetumwa tu.
 
“Kijana wenu ameamua kutoa bima hizi kwa ajili ya wanaTandale wote bila ubaguzi ” -Babu Tale
tangazo
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )