Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Friday, October 19, 2018

VIDEO: IGP Sirro Akijibu Maswali ya Waandishi Kuhusu CCTV Camera Kuchezeshwa Mo Dewji Alivyotekwa

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amejibu tuhuma za CCTV Camera kuchezewa katika tukio la kutekwa Mo Dewji

Amesema; “Kuhusu kuchezewa camera  sio kweli, ile footage haikuwa very clear, lakini baadaye ukiunganisha dots imeweza kusaidia kupata lile gari” 

 “Camera za CCTV zimetusaidia, tumeweza kutambua hilo gari kwamba inawezekana ndio gari lililohusika kwenye tukio la kumteka Mfanyabiashara Mo DEWJI, namba za gari hilo ni AGX 404 MC na limetokea Nchi jirani.”

Msikilize hapo chini
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )