Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Wednesday, October 24, 2018

Viwanja vinauzwa: Bunju na Mapinga Dar es Salaam

Kwa Bunju vipo viwanja 2 tu: kimoja kina sqm 1700 bei yake ni mil 50 na kingine kina sqm 1300 bei yake ni mil 40. Umbali kutoka main road ni nusu kilometer tu.

Kwa Mapinga Kimele vipo viwanja vya mita 20/20 kwa tsh 4 mil, mita 20/30 kwa tsh 6 mil, mita 20/40 kwa tsh 8 mil, mita 30/40 kwa tsh 12 mil, mita 35/40 kwa tsh 18 mil.
 
Bei hizi ni kwa wale wanaolipa kwa awamu, ukilipa kwa mkupuo mmoja, bei ya kiwanja inapungua kwa tsh 500,000/=
Process ya upimajia wa viwanja hivi haijakamilika, ipo hatua za mwisho. Hati bado. Umbali kutoka main road ni km 3 tu.

Kwa Mapinga Baobab secondary, vipo viwanja vikubwa sana, sqm 1100 kwa tsh 15 mil, sqm 1600 kwa tsh 21 mil, sqm 2400 kwa tsh 31 mil, sqm 3000 kwa tsh 40 mil. Bei hizi ni kwa wale wanaolipa kwa awamu, ukilipa kwa mkupuo mmoja, bei ya kiwanja inapungua mpaka 12,000 per sqm. Upimaji wa viwanja hivi umekamilika na hati ziko tayari.
umbali kutoka main road ni 2.5 km

Hakuna dalali, mpigie mhusika: call 0758603077, whatsap 0757489709
Advertisement
Loading...
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
==

taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )

Loading...