Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Friday, October 19, 2018

Viwanja Vinauzwa: Low, Medium and High Density plots for sale: Bunju & Mapinga


Wenye uhitaji wa viwanja vikubwa kwa bei nafuu mnakaribishwa.
 
Kwa Mapinga Kimele, vipo viwanja vya ukubwa 10/20 bei milion 2, 20/20 bei milion 4, 20/30 bei milion 6, 20/40 bei milion 8, na 35/40 bei milion 18.
 
Bei hizi ni kwa wateja wanaolipa kwa awamu. Endapo mteja atalipa pesa yote (kwa mkupuo mmoja) bei itapungua kwa tsh 500,000 kila kiwanja. Umbali kutoka main road ni kilometa 3.

Pia vipo viwanja vikubwa sana (low density plots) eneo la Baobab sec (Mapinga to Kibaha Road) vyenye ukubwa sqm 1500 kwa tsh 20 mil, sqm 1900 kwa tsh 25 mil, sqm 2300 kwa tsh 30 mil, na sqm 3000 kwa tsh 39 mil.

Kwa Bunju (dsm) vipo viwanja kuanzia milion 50 kwa sqm 1700 mpaka milion 100 kwa sqm 3000.

Karibu Mapinga (mji wa baridi na hewa safi). Ujanja ni kununua/kuongeza akiba ya viwanja (assets) kwa ajili yako na kizazi chako.
 
Ukipata taarifa hii mjulishe ndugu/jamaa/rafiki.

Hakuna dalali, mpigie mhusika: call 0758603077, whatsap 0757489709
tangazo
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )