Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Wednesday, November 21, 2018

Alikiba aitambulisha rasmi logo ya King's Music Records

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania ambaye pia ni C.E.O wa lebo ya muziki wa King’s music records, Alikiba ameamua kuitambulisha rasmi logo ya King’s.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Alikiba ameitambulisha na kuandika hivi:-

Kundi hilo la muziki ambalo liko chini ya Alikiba litafanya show yake ya kwanza katika mji wa Kahama tarehe 24-11-2018 siku ya jumamosi hii ambapo tayari wametoa baadhi ya wasanii watakao kuwepo kwenye show hiyo ambao ni yeye Alikiba, mdogo wake Abukiba,Cheed, Killy, pamoja na K2ga wote wakiunda kundi hilo lakini wapo wengine wanaotoka nje ya kundi hilo ambao ni Gigy Money, na msanii kutoka Zanzibar Fanny.
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

taboola apo chini
....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )