Pakua App Yetu Playstore
<< BOFYA HAPA>> Kui Install

Saturday, December 8, 2018

Fid Q Awajibu Waliompanda Hana Gari...Sasa Kaamua Kuliweka Hadharani

Msanii wa muziki wa hip hop, Fareed Kubanda aka Fid Q ameamua kuonyesha gari lake jipya aina ya Jeep Renegade Lift Kit yenye rangi ya ‘Bluu bahari’ kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram.
 
Kupitia mtandao huo Fid Q, ameandika ujumbe unaosomeka ‘ChengaChengaZaKekiYangu’ huku akionyesha gari hilo.

”Weekend njema waungwana, #ChengaChengaZaKekiYangu,” ameandika msanii huyo wa muziki wa hip hop, Fareed Kubanda aka Fid Q.

Siku za hivi karibuni Msanii huyo aliingia kwenye kutoelewana na baadhi ya viongozi wa WCB, hali iliyopelekea mmoja wa viongozi hao kuandika ujumbe kuwa hana gari.

Gari hiyo ya Fid Q, Jeep Cherokee inauzwa dola 33,320 ambayo ni sawa na zaidi ya milioni 76 za Tanzania.
Advertisement
==


Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Loading...
==

....

===
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )