Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Wednesday, December 19, 2018

Saed Kubenea Ammwagia Sifa Rais Magufuli kwa Ujenzi wa Barabara na Ukuaji wa Uchumi

adv1
Mbunge wa jimbo la Ubungo kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Saed Kubenea ameunga mkono juhudi za Rais Magufuli katika ujenzi wa barabara, ukuaji wa uchumi huku akisema anaunga mkono kwa asilimia 200%.

Ameyasema hayo leo Jumatano 19 Disemba 2018 katika uzinduzi wa barabara ya kilomita 19. 2 unaoanzia Kimara jijini Dar es salaam mpaka Kibaha mkoani Pwani, ambapo amesema uzinduzi huo ni wa kihistoria na wao kama wapinzani wanaunga mkono.

”Kwakweli kwa juhudi hizi mheshimiwa rais Magufuli tunakuunga mkono kwa asilimia 200%, tumeona namna unavyokuza uchumi, sisi tukuhakikishie kuwa tuko pamoja,”amesema  Kubenea na kuongeza;

"Jambo dogo linalotutatiza wananchi hawa wana manunung'uniko yanayotokana na fidia, uangalie wananchi wote waliobomolewa wapate fidia zao. "
ad
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )