Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Friday, January 4, 2019

Rayvanny Ataja sababu ya kubadili muonekano wake wa nywele

adv1
Msanii wa muziki Bongo, Rayvanny ameeleza sababu ya kubadili muonekano wake wa nywele.

Muimbaji huyo kutokea WCB akizungumza na Wasafi TV amesema kwa kawaida msanii anatakiwa kuwa na muonekano wa tofati tofauti na ndicho alichokifanya kwa sasa.

"Muda mwingine msanii unatakiwa uwe unabadilika sio panki kila siku. Mtaanza matusi yenu toa, toa, sitoi huo ndio muonekano wangu," amesema Rayvanny.

Kwa sasa Rayvanny anafanya vizuri na wimbo 'Paranawe' ambao ameshirikishwa na Harmonize.
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )