Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Tuesday, February 5, 2019

Mo Dewji Aweka Wazi Maumivu Aliyo Nayo Baada ya Simba Kupigwa Bao 5

adv1
Mwekezaji mkubwa wa klabu ya Simba na Mfanyabiashara maarufu Tanzania, MO Dewji amesikitishwa na kipigo cha goli 5-0 dhidi ya klabu ya Al Ahly ya nchini Misri.

Mo Dewji kupitia ukurasa wake wa Twitter, amesema kuwa ameumia lakini anaamini hata Roma haikujengwa kwa siku moja.

“Roho yangu bado inaniuma. Naipenda sana Simba, na bado sijakata tamaa. Roma haikujengwa kwa siku moja.“ameandika Mo Dewji .

Wikiendi iliyopita Simba walikubali kichapo cha goli 5-0 dhidi ya Al Ahly kwenye mchezo wa Klabu Bingwa barani Afrika.
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )