Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Monday, February 4, 2019

Vannesa Mdee Akanusha Kuongeaza Matiti.

adv1
Mwanadada anaetamba na kufanya vizuri kwa sasa na wimbo wa thats for me,  Vannesa mdee amefunguka na kukanusha taarifa kuwa amefanya surgery na kuongeza sehemu ya mwili wake hasa upande wa matiti.

Akiongea na refresh ya wasafu tv, Vanesa aliulizwa swala la kizushi kuhusu mwili wake kuwa sehemu kubwa ya maziwa yake kwa sasa imeongezeka na sio kama ilivyokuwa hapo awali, mwanadada huyo alisema kuwa habari hizo sio za kweli na kwamba hajafanya kitu kama icho.

Akiongea kwa kujiamini, Vanesa anasema kuwa katika maisha yake hajawahi kufanya upasuaji kwa ajili ya kuongeza kitu chochote katika mwili huo na hata swala la maziwa watu wamekuwa wakimwangalia kwa wasiwasi lakini hajafanya chochote.

==>>Sikiliza Full Interview hapo chini
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )