Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Saturday, August 10, 2019

Breaking: Lori la Mafuta Laripuka Na Kuua Idadi Kubwa ya Watu Morogoro

adv1
Idadi kubwa ya Watu wanasadikiwa kufariki Duania  baada ya kuungua na moto kufuatia Lori la mafuta kulipuka eneo la Msamvu mjini Morogoro. 

Watu hao wanadaiwa kuwa walikuwa wakichota  mafuta kwenye Lori hilo ambalo lilipata ajali majira ya saa 1:00 Asubuhi leo Aug 10.

Endelea kuwa nasi kwa habari kamili
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )