Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Sunday, September 8, 2019

PICHA: Nguza Viking 'babu Seya' Na Katibu Tawala Wilaya Ya Muheza Mhe Desderia Haule Walivyofunga Pingu Za Maisha

adv1
Mwanamuziki Mkongwe nchini Nguza Viking almaarufu Babu Seya  amefunga ndoa takatifu  Jumamosi Septemba 7,2029 katika Kanisa Katoliki,Sinza  jijini Dar es salaam  na Katibu Tawala Wilaya ya Muheza (DAS), Bi Desderia Haule. Tunawatakia kila la kheri, afya njema na maisha marefu zaidi na Mungu akayabariki maisha yao mapya ya Ndoa. 

Mwanamuziki Mkongwe nchini Nguza Viking almaarufu Babu Seya  akiwasili katika kanisa la katoliki Sinza Jumamosi Septemba 7,2029   jijini Dar kufunga ndoa takatifu  na Katibu Tawala Wilaya ya Muheza (DAS), Bi Desderia Haule. Tunawatakia kila lakheri, afya njema na maisha marefu zaidi na Mungu akayabariki maisha yao mapya ya Ndoa. 

 

Bi Harusi, Katibu Tawala Wilaya ya Muheza (DAS), Bi Desderia Haule akiwa katika furaha
adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )