Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Tuesday, September 10, 2019

Taarifa Kwa Umma Kuhusu Afya ya Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki Dar es Salaam Yuda Ruwaichi Baada ya Kufanyiwa Upasuaji

adv1
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam nchini Tanzania, Mhashamu Yuda Thadeus Ruwa'ichi amefanyiwa upasuaji wa dharura katika Taasisi ya mifupa (MOI).

Taarifa iliyotolewa na leo Jumanne Septemba 10, 2019 na Kitengo cha Mawasiliamo MOI inaeleza Askofu Ruwa'ichi alipokelewa hospitalini hapo jana Jumatatu saa 5 usiku akitokea Hospitali ya KCMC, Moshi mkoani Kilimanjaro.

Baada ya kupokelewa hospitalini hapo, wataalamu wa MOI walimfanyia uchunguzi na vipimo na kubaini alihitaji upasuaji wa dharura
.

adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )