Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Thursday, October 10, 2019

Taarifa Mpya Toka Bodi Ya Mikopo Kwa Wanafunzi Waliokosea Kutuma Maombi

adv1
Bodi ya Mikopo ya Elimu Ya Juu-HESLB  imetoa taarifa mpya kwa wanafunzi waliokosea wakati wa kufanya maombi ya Mikopo yao kwa mwaka 2019/2020..

Taarifa hiyo imewataka wanafunzi kuingia katika Akaunti zao na kisha kufanya marekebisho.

Mwisho wa kufanya marekebisho hayo ni October 15.

Kwa taarifa zaidi  <<INGIA HAPA>>


adv
Loading...

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )