Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Monday, February 18, 2019

Aliyekuwa Mbunge na Waziri Serikali ya Awamu ya Nne Profesa Juma Kapuya Afunga Ndoa Na Kabinti

juu
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Urambo Magharibi na Waziri wa Ulinzi katika serikali ya awamu ya nne, Profesa  Juma Athuman Kapuya amefunga ndoa na mpenzi wake Mwajuma Mwiniko .

Ndoa hiyo kati Prof Kapuya mwenye umri wa miaka 74 na binti huyo anayedaiwa kuwa na umri wa miaka 25 imefungwa Wilayani Urambo Mkoani Tabora siku ya jana tarehe 17 Februari, 2019
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )