Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Wednesday, February 13, 2019

Godzilla alioneshwa kifo chake siku 3 zilizopita, aacha ujumbe mzito twitter

juu
Msanii Godzilla ambaye amefariki dunia alfajiri ya leo, alizungumza juu ya kifo chake siku chache zilizopita, kwenye mtandao wa twitter ambao alikuwa akipenda sana kuutumia.

Kwenye ukurasa wake mnamo februari 9, Godzila aliandika ujumbe kuwa hata kama akifa, jina lake litaendelea kubaki kwa watu, jambo ambalo limetafsiriwa kama alikuwa anakaribia kufikwa na umauti.
Godzilla aliendelea kutumia ukurasa huo mpaka jana saa 9 alasiri, ambapo alitweet ujumbe wake wa mwisho, ambao ulisomeka hivi.

chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )