Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Wednesday, February 27, 2019

Muhammad Buhari Atangazwa Kuwa Mshindi wa Kiti cha Urais Nigeria

juu
Muhammad Buhari ametangazwa na Tume ya Uchaguzi Nigeria kuwa mshindi wa kiti cha Urais kwenye uchaguzi mkuu uliofanyika Februari 23

Buhari ameshinda kwa kura millioni 15 akiwa zaidi kwa kura millioni 4 zaid ya mpinzani wake Atiku aboubakar . Hata hivyo, Upinzani wamekataa matokeo hayo.

Chama cha Buhari kimeshinda majimbo 19 kati ya 36 , wakati chama cha upinzani cha PDP wakishinda majimbo 17.

Tume ya uchaguzi imesema kuwa itaangalia malalamiko yote kabla ya kutangaza Rasmi matokeo ya uchaguzi.
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )