Baraza la Sanaa la Taifa(BASATA) limesitisha usajili wa Msanii Godfrey
Tumaini(Dudubaya),kuanzia jana Alhamisi, 28 Feb 2019 .
Hatua hiyo imechukuliwa baada ya msanii huyo kukamatwa na jeshi la
polisi, kutokana na kutoa kauli zisizofaa kwenye mitandao ya kijamii
dhidi ya Ruge
Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )