Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Saturday, March 2, 2019

Nandy Amwaga Machozi....Ashindwa Kuimba Jukwaani

juu
Msanii Nandy ameshindwa kuimba  cover ya wimbo wa  muimbaji wa muziki Injilj, Angel Bernald uliokuwa ukipendwa na Ruge Mutahaba.

Nandy alifanya Rimix  hiyo ya "Nikumbushe Wema Wako" wenye maneno yanayogusa, yakisisitiza wema wa Mungu wakati wa magumu.


Wimbo huo ulikuwa kati ya nyimbo bora sana kwa marehemu Ruge na akiwa hospitali ulipigwa mara nyingi sana kumfariji.chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )