Tetemeko la ardhi la sekunde kadhaa limetokea leo mchana Alhamisi Machi 21, 2019 jijini Mbeya na Sumbawanga na kuleta hofu kwa Watu mbalimbali.
Baadhi ya wananchi walilazimika kuacha ofisi zao huku waliopo nyumbani nao wakitoka nje ya nyumba zao.Hakuna madhara yaliyoripotiwa hadi sasa
Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )