Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Saturday, January 18, 2020

Penzi la Rihanna na Bilionea wa Kiarabu Lavunjika

juu
Taarifa za watu wa karibu na msanii Rihanna zinaeleza kuwa penzi lake na bilionea wa kiarabu Hassan Jameel, limefikia ukomo baada ya kudumu kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu.

Kwa mujibu wa taarifa ya mitandao mbalimbali Duniani, Rihanna na Jameel walianza uhusiano wao wa kimapenzi mwaka 2017 lakini ulikuwa uhusiano wa faragha. Bado haijabainika wazi chanzo cha wawili hao wenye umri wa miaka 31 kuamua kutengana. 

Jameels wanaorodheshwa wa 12 kama familia tajiri miongoni mwa Waarabu kulingana na jarida la Forbes. 

Habari za wawili hao kuchumbiana ziligonga vichwa vya habari baada ya kupigwa picha wakifanya yao  katika kidimbwi cha kuogelea nchini Uhispania. 


ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )