Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Thursday, March 12, 2020

Halima Mdee Amwaga Machozi Baada ya Kutoka Gerezani...."Watanzania hamjui ni jinsi gani mlivyotuliza, hatukutegemea "

Mbunge Halima Mdee amemwaga machozi hadharani baada ya kutoka gereza la Segerea leo na kuwashukuru watanzania kwa ushirikiano mkubwa waliouonyesha wa kuwachangia na kuwafanyaa wao kuwa nje ya gereza.

"Watanzania nyie hamjui, hamjui mlivyotusitiri mimi ni kamanda lakini napata hisia, nilikua najua tulivyonyong'onyezwa ila watu  wametuchangia tunashukuru na bado pesa zinaingia 

"Mimi nalia sio kwamba naogopa hapana ila upendo wenu muliouonyesha kwetu

"Nawashukuru sana Watanzania, walijua hatuna fedha, ni kweli hatukuwa na pesa kabisa, walijua mapema tunaenda jela.


"Walishafunga akaunti zote hadi za mwenyekiti wetu Mbowe, wakaangalia sisi wengine hali zetu tusingeweza kulipa fidia hizo.
" alisema Halima Mdee huku akiwa analia .

Wabunge Halima Mdee, Esther Matiko na Ester Bulaya wametoka gereza la Segerea leo baada ya kulipa faini ya Sh110 milioni.

==>>Tazama hapo chini
Video Credit:EATV
chn
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )