Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Sunday, March 1, 2020

Mechi Imeisha.....Manchester City watwaa Ubingwa wa Carabao Cup Kwa kuichapa Aston Villa 2-1

juu
Dakika 90 za Mchezo  Kati ya Manchester City  na Aston Villa kwenye Uwanja wa Wembley  zimemalizika ....Manchester City Wamebeba Ubingwa wa Carabao Cup kwa msimu wa tatu mfululizo baada ya kuichapa Aston Villa 2-1

Hata hivyo, Mtanzania Mbwana Samatta amekuwa mchezaji wa kwanza wa Tanzania kuifunga goli Manchester City  na amekuwa mchezaji wa tano kutoka Bara la Afrika kufunga kwenye Kombe la Ligi, wengine ni Didier Drogba , Joseph-Désiré Job, Obafemi Martins na Yaya Touré.

Samatta amefunga bao dakika ya 41 akiunganisha kwa kichwa cha kupiga mbizi baada ya kupokea pasi  toka kwa Anwar El- Ghazi. 

Man City walikuwa wa kwanza kufunga bao kupitia kwa mshambuliaji wao Sergio Aguero dakika ya 20 na kiungo Rodri kufunga la pili dakika 34.
ap
Loading...
taboola dsk
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )