Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Monday, April 20, 2020

Rais Magufuli Atuma Salamu Za Rambirambi Kufuatia Kifo Cha Askofu Getrude Rwakatare

juu
Rais Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Familia,Wabunge na Waumini wa Kanisa la Mlima wa Moto kufuatia kifo cha Askofu Getrude Rwakatare.

Rais Magufuli amesema Askofu Rwakatare alikuwa Mcha Mungu, mwenye upendo, asiye na majivuno, aliyepigania umoja na amani na aliyeipenda Tanzania.

chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )