Spika wa Bunge ameagiza kitengo cha usalama cha Bunge kutowaruhusu wabunge 15 wa CHADEMA kuingia katika maeneo ya Bunge kuanzia leo hadi pale watakaporudisha posho ya kujikimu ya tarehe 1-17 Mei 2020 waliyolipwa na kuwasilisha ushahidi wa kupima kuthibitisha hawajaambukizwa Corona
Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )