Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Saturday, May 23, 2020

Ndege iliyokuwa na abiria 99 yaanguka nchini Pakistan

juu
Ndege ya Shirika la kimataifa la ndege la Pakistani -Pakistan International imeanguka katika mji wa Karachi lipokua ikitoka Lahore, maafisa wa safari za anga wamesema.

Ndege hiyo Chapa PK8303, ambayo ilikua imewabeba abiria 91 na wahudumu wa ndege wanane, ilikua ikisafiri kutoka Lahore kuelekea katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jinnah wenye shuguli nyingi zaidi nchini Pakistan.

Maafisa wamethibitisha watu 97 wamefariki na wawili wapo hai
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )