Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Monday, May 25, 2020

Vifo Vya Corona Nchini Marekani Vyakaribia Laki Moja, Trump Aonekana Akicheza Mchezo wa Gofu Bila barakoa

juu
Vifo vya corona vinakaribia kufikia Laki moja Marekani ambapo hadi leo asubuhi kuna vifo 99,300, maambukizi pia yanaongezeka 

Marekani ina maambukizi 1,686,436 na wamepona Watu 451,702

Rais Trump jana alionekana akicheza Gofu huku wakazi wa Marekani wakijianika juani wakati hatua za vizuizi zikianza kulegezwa nchini humo. 

Trump ambaye anataka makanisa, masinagogi na misikiti kuruhusiwa haraka kuendesha ibada, hakuwa amevaa barakoa wakati alipokuwa akicheza Gofu, na hata wachezaji wenzake nao hawakuvaa Barakoa.
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )