Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Thursday, May 14, 2020

Wagonjwa Wa Corona Nchini Kenya Wafika 758 Baada Ya Wengine 21 Kuongezeka

juu
Wizara ya afya  nchini Kenya imesema  kuwa maambukizi ya virusi vya Corona nchini Kenya yamefikia 758 baada ya watu 21 zaidi kuthibitishwa kuwa na virusi vya Corona baada ya sampuli 1486 kupimwa katika muda wa saa 24 zilizopita.

Aidha idadi ya waliofariki imeongezeka na kufikia 42 baada ya watu wawili zaidi kufariki hapa Nairobi.

Vilevile idadi ya waliopona imefikia 284 baada ya watu wengine 3 kupona na kuondoka hospitalini.
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )