Je, Unatafuta Kazi au Ajira?
<< BOFYA HAPA>> Kupata Ajira Yako Leo

Monday, July 20, 2020

Aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile Aibuka Kidedea Kura za Maoni Kigamboni....Makonda Kawa wa Pili

juu
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameshindwa kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Kigamboni jijini Dar es Salaam.

Mkutano mkuu wa jimbo hilo umefanyika leo Jumatatu tarehe 20 Julai 2020 katika ukumbi wa Chuo cha Mwalimu Nyerere, Kuvukoni jijini humo ambapo wagombea walikuwa 78.

Mchuano ulikuwa mkali kati ya Makonda aliyeuacha ukuu wa mkoa ili kwenda kuwania ubunge kushindana na mbunge anayemaliza muda wake, Dk. Faustine Ndugulile.

Akitangaza matokeo, katibu mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Simon Mwakifamba amesema wapiga kura walikuwa 399 na hakuna kura zilizoharibika.
 

Amesema, Makonda amepata kura 122 huku Dk. Ndugulile akupata kura 190
chn
ap
Loading...
ad

Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
Mgid
taboola apo chini
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )