Hamisi Taletale (Babu Tale), ameongoza kwenye kura za maoni katika Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki kwa kupata kura 318, akifuatiwa na Naibu Waziri wa Kilimo Omary Mgumba aliyepata kura 242 na wa tatu ni Kibena Kingo aliyepata kura 40.
Loading...
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi
==>>... << BOFYA HAPA Kui Install>>
Mgid
hapa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )